Katika kile kinachoonekana kama uthibitisho wa kutokuwezekana kwa nchi moja kushinda vita kwa kutegemea misaada 100% kutoka kwa nchi nyingine, Ukraine imekumbwa na uhaba mkubwa wa makombola kiasi cha kupelekea Rais mchekeshaji Volodimu zelensiki kufikiria kwenda Beijing kuonana na rais wa China kuangalia uwezekano wa kusign mpango wa amani uliopendekezwa na China ambao haujumuishi ulazima wa Urusi kuondoa majeshi yake kutoka Ukraine.
Mpaka muda huu naposti hii habari nchi ya Ukraine inategemea misaada ya siraha na mahitaji mengine ikiwemo toilet paper kwa 101%.
Kitu pekee alicho nacho Ukraine ni manpower ambayo nayo inazidi kupungua kwa kasi kutokana na uhimara wa siraha za mrusi akishirikiana na machine zake za mauaji Wagner group.