Suala LA huduma ya maji limekuwa tatizo kubwa baadhi ya maeneo ya jimbo LA nyamagana na ilemela,Siku tano sasa huduma ya maji haipo kwenye kata za mahina,Igoma,mhandu,buswelu nk, chakushangaza tuna ma diwani,wenyeviti wa mitaa na wabunge hawa tumewachagua kwa kazi zipi kama wanashindwa kujali wananchi wao,kwenye mambo ya msingi tuchukue hatua,