Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 517
- 913
Teknolojia hii balaa
Kutana na jamaa mmoja anaitwa Tomas Vega mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Augmental, ameleta teknolojia mpya ambayo itaweza kuwasaidia wale watu wenye tatizo la kupooza.
Kupitia mdomo, ulimi na kichwa chake kwa mtu aliyepooza ataweza kuingiliana kwa urahisi na simu, kompyuta pamoja na tablet. Mr Tomas aliona jinsi gani ataweza kuwasaidia watu wenye changamoto ya kupooza kuweza kutumia simu ndipo akaamua kuleta teknolojia hiyo ya mouth based touchpad.
Kupitia ulimi pamoja na kuchezesha kichwa ataweza ku control simu , kompyuta au tablet. Mouthpad ndani Kuna sensor ambayo inafanya kazi ya kubadili ulimi na kichwa chako kuwa cursor ambayo inatembea kuwa na Uwezo wa kubonyeza mahali in real time kupitia Bluetooth.
Kupitia hiyo mouthpad utaweza kupandisha juu, chini, pembeni nk.