Ukiwa na mpenzi wako mchukulie kama Malaya ili siku ukija mfuma usiumie sana

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
1,059
2,291
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako pamoja wamebebana Ni siku tofauti

Kwa ufupi wanaokataa ndoa siwezi sema wako sahihi au wanakosea ila ukweli ni kwamba watu kwenye mahusiano wanachapiwa sana tena kwa Kasi ya 6G kama iliyozinduliwa Japan, ili kuepuka maumivu haya sasa Ukiwa na mpenzi wako usiachie moyo wako wte laa sivyo utajikuta unakufa kwa pressure.

Kama huamini Tenga laki moja mrushie mke au mpenzi wa Mtu kwa installment sema tu labda akalipie kikoba alafu baada ya muda wew utachokiona utaleta mrejesho atavyoanza kukufanyia ili ule kimasihara.

IMG-20240509-WA0081.jpg

GNFBRgNXsAAsJkB.jpg
 
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio,lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli,hiyo picha wako pamoja wamebebana Ni siku tofauti

Kwa ufupi wanaokataa ndoa siwezi sema wako sahihi au wanakosea ila ukweli ni kwamba watu kwenye mahusiano wanachapiwa sana tena kwa Kasi ya 6G kama iliyozinduliwa Japan,ili kuepuka maumivu haya sasa Ukiwa na mpenzi wako usiachie moyo wako wte laa sivyo utajikuta unakufa kwa pressure.

Kama huamini Tenga laki moja mrushie mke wa Mtu kwa installment sema tu labda akalipie kikoba alafu baada ya muda wew utachokiona utaleta mrejesho ulichoona.View attachment 2986183View attachment 2986182View attachment 2986184

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Sawa
 
Bado hata hueleweki tunajuaje ni MTU na baba yake au mjomba
Au unachukulia wote tunawafahamu

Kama kueleza tu story ueleweke ni kazi hivyo itakuwaje
Usichoelewa nin hapo? Au wew ndo umemvisha Pete hutaki kukubali kuwa huyo mubaba alikuwa anamla? Kwanza picha zingine wanazifuta ambazo ungeziona ungeelewa haraka kwa nyie slow learner

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom