LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,431
- 12,292
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela halafu uje ulalamike hela huioni wakati inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi wanaume
Kwa usalama wa kipato chako kuwa na mwanamke mmoja kama ni michepuko kwa usalama wako usiweke kambi ya kudumu kwa mchepuko watakufilisi au baki njia kuu tu
Pia kuna wanawake wengine wana mikosi uwe makini kulala na wanawake hovyo hovyo utakuja kujutia