Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,624
- 25,600
Asilimia kubwa wanaume wanaopata misuko suko ya ndoa, ni wale waliooa wanawake ambao hawaja lelewa katika misingi ya dini haswa dini ya kiislamu.
Ukipata mwanamke aliyelelewa katika misingi ya dini ya kiislamu utaenjoy sana maisha ya ndoa.
Wengi wao wana utii kwa wanaume wao, wana stara, n wasafi, upande wa mapishi wapo vizuri, si waongeaji ongeaji hovyo kukiwa na wanaume.
Wanajua kutunza na kuwaheshimu wanaume wao.
Sio watu wa kujibizana hovyo kwa wanaume wao, nyumba zao mara nyingi hazina makelele kelele hovyo ,vipindi vyao pendwa ni kaswida .
Mazingira ya nyumba mara nyingi huwa yananukia na ni wa karimu sana kwa wageni
Wanawapatia vizuri haki ya ndoa wanaume zao hata kama ni mara 3 kwa siku .
Watoto wao pia kwa kiasi kikubwa huwa wanakuzwa katika misingi bora.