Dan Zwangendaba JF-Expert Member Apr 25, 2014 5,730 7,979 Jan 11, 2017 #1 Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani? 1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh? 2. Ni nini na ni wapi Garaganze? Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s.
Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani? 1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh? 2. Ni nini na ni wapi Garaganze? Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s.
Dan Zwangendaba JF-Expert Member Apr 25, 2014 5,730 7,979 Jan 11, 2017 Thread starter #5 hashycool said: ndo vitu gani hivyo! Click to expand... Wa kwanza huyu
Twalyaninkomi JF-Expert Member Oct 31, 2016 265 259 Jan 11, 2017 #6 Dan Zwangendaba said: Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani? 1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh? 2. Ni nini na ni wapi Garaganze? Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s. Click to expand... 1. Ghana
Dan Zwangendaba said: Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani? 1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh? 2. Ni nini na ni wapi Garaganze? Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s, na 2000s. Click to expand... 1. Ghana
Dan Zwangendaba JF-Expert Member Apr 25, 2014 5,730 7,979 Jan 11, 2017 Thread starter #7 Twalyaninkomi said: 1. Ghana Click to expand... Umekutana nayo ghana au kitabu kinaitwa ghana?
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,963 3,675 Jan 11, 2017 #9 Ngoja ni google.....sitaki kubaki nyuma
Blank page JF-Expert Member May 28, 2015 5,213 4,328 Jan 11, 2017 #11 nimesurrender mi kweli wa 2000s maana vitu sijawahi visikia mkuu.dah
K KISATYA Member Aug 17, 2016 11 6 Jan 11, 2017 #13 Ni lini na ni wapi garaganze? Hiyo ilikuwa ni dora ya musri iliyoharibiwa na wabelgiji mwaka 1891 huko Afrika ya kati
Ni lini na ni wapi garaganze? Hiyo ilikuwa ni dora ya musri iliyoharibiwa na wabelgiji mwaka 1891 huko Afrika ya kati
U Umenitoa Gizani JF-Expert Member Dec 3, 2016 387 182 Jan 11, 2017 #14 1980s Mwandani , nilibobea sana, mastering 40, learning through language
kinywanyuku JF-Expert Member Jul 13, 2015 3,738 2,907 Jan 12, 2017 #15 kumbi salehe ilikuwa capital ciyt ya ghana empire