Ukipenda kweli ukatendwa au kuachwa utafanyaje?

Kwanza unatakiwa utulie,pili chunguza kasoro zako kwa kuangalia Mlivyo kaa na x,tatu usithubutu kuuingia kwenye mahusiano mengine kw haraka ili umkomeshe utaangukia ktk mikono isiyo shh,Usikubali kurudiana na x woko kama alikuwa na mpenzi mwingine,
 
Nakumbuka niliachwa mwaka 2014 nilipo maliz tuu six nili lia sana nikaomba hadi msamaha na sikua na makosa mim,ila wapi ilinichukua muda mrefu sana kukubaliana n hiyo hali sababu nilimpenda sana huyo mdada,but siku n miaka ikasonga mbele nika lisahau hilo ingawa kuna wakati kumbu kumbu hunijia kuanzia hapo sijapenda tena mpaka leo hii nipo mwaka wa 3 university nafurahia maisha yangu ya kua single
 
Usiwaze sana chukulia simple ,ndio inauma sana na Ni zaidi ya maumivu ila jua pengine kuna kitu umekiepuka kibaya zaidi mbeleni.mm nililipa mahari Kabisa akasepa,ila mungu Ni w ajabu nimekuja kuoa mke super tena bikira,na sifa nyingi ambazo wenzangu wanazikosa KW wenza wao,jina la mungu libarikiwe
 
Pole sana aisee usiichukue biashara mwachie tu ipo siku na yeye atalia tena zaid yako muombe Mungu tu atakusaidia na atakupa mwanamke aliye bora zaidi hata ya uyo, machungu yenyew huwa yapo tu ila jifunze kuhimili stress.
 
Ndio dawa tu ukitoswa dawa ni kuwa single tu.
 
Amina
 
Asante ndugu yangu namuacha sitomfatilia tena hata hiyo pesa sito mdai tena
 
Zama hizi unatakiwa uwe cautious kidogo... Usiwe kama airtel 'hatupimi' at least mtu ameshakuwa mke wako then hilo ni jambo jingine.
 
ilinitokea mkuu hiyo aiseeee..... ilikuwa ngumu ila nilijitahidi sana kumsahau sema ni ngumu sana... kitu kilichonisaidia ni kwamba nilijikaza nisimtafute na kweli sikumtafuta mpaka sasa nipo fresh.. kanifanya wanaofata wote niwapende juu juu tu...!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…