mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Jan 21, 2016 Thread starter #3 Ni watu WA media MKUU ndo wamemwambia majeruhi aweke pozi Hapo anasubiri ambulance
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 59,949 119,216 Jan 21, 2016 #4 mbere said: Ajali Click to expand... Hivi Huwa Tunaelewa Lakini Maana Ya " News Alert? " Acheni Wazungu WATUTUKANE Waafrika Kwani Tuna UPOPOMA ULIOTUKUKA.
mbere said: Ajali Click to expand... Hivi Huwa Tunaelewa Lakini Maana Ya " News Alert? " Acheni Wazungu WATUTUKANE Waafrika Kwani Tuna UPOPOMA ULIOTUKUKA.
mbere JF-Expert Member Mar 5, 2015 6,967 6,463 Jan 21, 2016 Thread starter #5 Soma Kwa makini utaelewa ni vipi hiyo ni news Husanisha na wandishi wa kibongo au watu wanaoanzaga kufika kwenye ajali na simu zao zinazowatia ushamba, badala ya kusaidia wanapiga picha.
Soma Kwa makini utaelewa ni vipi hiyo ni news Husanisha na wandishi wa kibongo au watu wanaoanzaga kufika kwenye ajali na simu zao zinazowatia ushamba, badala ya kusaidia wanapiga picha.
Migomba JF-Expert Member Nov 30, 2013 945 1,334 Jan 21, 2016 #6 Dah nimefungua hii link nilidhani Kuna hoja nzito ya kujadiliwa. Pumba tupu! Hizi heading tunazielewa lkn au ndio zile za magazeti ya udaku?
Dah nimefungua hii link nilidhani Kuna hoja nzito ya kujadiliwa. Pumba tupu! Hizi heading tunazielewa lkn au ndio zile za magazeti ya udaku?