Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,020
Ujumbe Umfikie mheshimiwa Raisi John Pombe Magufuli. Kazikazi!
Hahaha... Ila ulinichukiza jana love you know that... Ulikataa kwenda Club...
Sio tatizo kutumika,ila ni tatizo zaid kutumika bure na bila kunufaika.Ujumbe Umfikie mheshimiwa Raisi John Pombe Magufuli. Kazikazi!
Haya maneno yamenigusa sana...hongera bibieHakuna anaeijua safari yako zaid ya unavoijua ww kuna watu wamekujua ukubwan lakin wanajifanya kama wamezaliwa pamoja na ww kuna watu wamekujua ushapata sasa wanakufundsha namna ya kutumia.Watu wa namna hyo hawana maisha wana mapungufu mengi na wanataman kutumia maisha yako kubadilsha mapungufu yao usiumizwe kichwa na watu wanaokusengenya na kukuongelea mabaya kwan inamanisha umewazid kitu embu jiulze n mara ngapi ulisikia wakimsengenya kichaa sababu n moja tu hawataman kumuongelea kwan haitawasaidia kitu tofaut na ww ambaye wanakuonglea kwan haitawasaidia kitu tofaut na ww ambae wanakuonglea wanataman maisha yako..jifunze huenda kuna mengi unakosea na kwa hakika hayo ndiyo watayoyaona lakin kamwe maneno yao yasikukatishe tamaa usiache kufanya kile unachokipenda kutokana na maneno yao,Yachukue maneno yao na boresha kile unachokifanya ili uwape sababu nyingne ya kukuongelea kamwe usikatishwe tamaa na maneno ya watu ambao tayari wameshakata tamaa.
Hahaha mazee kwema naona umechoka sasa,Haya maneno yamenigusa sana...hongera bibie
sijachoka nipo mkuuHahaha mazee kwema naona umechoka sasa,
Ok nimezan ayo maneno yalikuhusu watu wanakusema kila kukicha,sijachoka nipo mkuu
kweeeeeeeeli aiseeeeUkiona hamna mtu anaekuongelea basi fahamu kwamba hamna la maana unalolifanya maishani!!!
Ndio yana uhusiano kiasi ila usijali nimewazoeaOk nimezan ayo maneno yalikuhusu watu wanakusema kila kukicha,
Sawa mkuu, ndo binadamu haoNdio yana uhusiano kiasi ila usijali nimewazoea