GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 421
- 1,298
Naomba nianze moja kwa moja, tuchukulie mfano wa kwenye mahusiano ya kimapenzi, ukiona unabadilisha sana partners mara kwa mara ndani ya muda mfupi mfupi jipe muda wa kujitathmini wewe mhusika (Holder)
Binadamu kwa hulka yetu huwa tunajiona tuko sahihi wakati wote kiasi cha kutaka wanadamu wenzetu wengine waishi na kutenda kama sisi, watu wanaweza kukuchukia, kukudharau au kukudhihaki simply tu kwa sababu hufanani nao kwa matendo na mitazamo ( mfano tu ni kwenye suala la imani ya kidini)
Kwenye mahausiano ya mapenzi hakuna mgawanyo wa 50/50, inaweza ikawa 40/60 au 70/30 ila kuna nyakati au majira fulani hata wewe mwenye 60 unapaswa ujishushe hadi 45 ili iwe 55/45 ku_balance equation penzi hunogeshwa na kuwa na ladha kwa namna hiyo, ama sio kushupaza shingo muda wote 😀
Muwe na jumapili njema, leo mama katupikia wali samaki nazi, kuna jagi kubwa la maji bardiii kwenye jokofu, pilipili mbuzi iko palee pia 😀.