GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,948
- 119,221
1. Ataanza kukupa Vipeperushi vya Kanisani Kwao na Kukukaribisha kwa Kutulazimisha uhudhurie Ibada zao.
au
2. Atakuambia ngoja Kwanza amshirikishe Mwenyezi Mungu na kwamba hawezi kukupa 'Mbunye' yake mpaka mfunge Ndoa.
Mnaotongoza Wanawake wa Kimakanisa ( Walokole ) poleni sana na Kazi Kwenu.
Na wengi wao huishia Kutoolewa na Kuzalishwa tu Watoto na Wababa tofauti na watafanyiwa hivyo mno hadi Akili ziwakae sawa.