Ukiona siri za jumba jeupe zinavuja, basi hiyo ni taa nyekundu kwa kiongozi wa nchi

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
4,327
13,583
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
 
Nyingine wanavujishaga makusudi

Ila kuna moja nzito na I verify kwanza hapa

Nzito mno!

Nilitaka nichape Uzi Ila nikagundua kuna code ziko wazi sana nikauweka pending (Draft)

Ila nikiwaza CHATU kufa wakifuatana si vema sana!
Britanicca
 
Wachambuzi fake mnataka nchi akibiziwe malaika Gabriel AMA ?
Kila sehem mataira na waroho wa madaraka wapo,.
Kuna watu ukiwabana watakutengenezea zengwe ..
Mbaya zaid wananchi ndio hutumika kufikisha ujumbe hata ule wa uwongo
Either kwa kujua au kutokujua
 
Hao mabwana wanazo mbinu nyingi za kulazimisha ushauri wao wa kizalendo utiliwe maanani.

Hiyo ya kupenyeza taarifa nyeti kwa vyombo vya habari, wanaharakati na wapinzani ni moja ya njia za awali tena za 'amani'.

Wakiona mambo yanaharibika sana basi watalazimika kutumia mbinu mbaya zaidi. Uwezo huo wanao.

Kwa hali ilipofika sasa ya safari za SIRI za kiongozi kuanikwa tena zikiwa kwenye hatua ya mipango inapaswa kuwa 'wake up call' kwa kiongozi husika.

Kumbuka, mamlaka ya kwenye karatasi hayana maana yoyote ikiwa wale unaowategemea ku enforce mamlaka yako hawako upande wako.
Jamanj si tuanze kuimba parapanda?
 
Kwani huyo mama yuko wapi kwa sasa?
 
Unaona mchwa waharibifu wanabunguakl kijiji roho inakuuma taratibu hazikuruhusu kuchukua hatua unaamua kutafuta spika (wanaharakati) kuvujisha taarifa nyeti sauti ipazwe.. ili wanakijiji wajue hatari iliyopo ndipo tulipo fikia hamna usiri.
 
Back
Top Bottom