KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 528
- 1,113
Wivu katika mapenzi ni kitu cha kawaida. Ila ukiona mpenzi wako wivu uko juu sana jua anakucheat Huyo.
Kuna rafiki yangu mmoja ana wivu sana kwa mumewe, ila kwa vile nipo naye karibu najua mambo yake ya siri. Ana michepuko si kawaida na naifahamu yote. Ila haipiti muda ni kupiga visimu kwa mumewe ooh hubby uko wapi, unafanya nini?
Ni malaya wa kutupwa. Ukiona mpenzi wako ana wivu uliopitiliza jiulize sana maswali. Maana hapo anajua anaibiwa na yeye kama anavyoiba.
Mapenzi ni dhamana, ila kwa Africa mapenzi ya dhati yashashindikana kwa wengi 70%. Fedha na mali ndio vinaendesha mapenzi kwa sasa.