Habari yenu wajuzi
Je, ukinunua taulo jipya dukani au nguo za ndani kuna usalama wa kuzitumia moja kwa moja au inafaa ufue kwanza?
Consideration
Kwa ulaya huwa mazingira yanaruhusu sababu nguo zinazouzwa zina ubora wa juu na zimethibitishwa dawa ya kutunzia nguo ni salama, hawana mambo ya kujaribisha, kuna sheria kali za afya madukani, n,k.
Je, ukinunua taulo jipya dukani au nguo za ndani kuna usalama wa kuzitumia moja kwa moja au inafaa ufue kwanza?
Consideration
- Nguo za ndani na taulo zilizojaa madukani hutoka China zina ubora mdogo na bei ya chini, hivyo kuna uwezekano hata dawa za kuhifadhi nguo zinaweza za bei rahisi ambazo sio rafiki kwa ngozi
- kuna maduka watu hujaribu vesti wakiona hazitoshi wanarudisha
- taulo / vest / boxer unayoiona ndani ya box inaweza kuwa iliwekwa nje kuvutia wateja zinashikwa sana au kupigwa na vumbi, n.k.