johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,019
- 168,427
TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake.
Kikwete akiwa Rais aliiacha TAMISEMI kwa Waziri Mkuu lakini alipoingia Shujaa Magufuli aliirejesha TAMISEMI Ikulu akihofia Ule umaarufu wa Lowassa alioupata kwenye Councils za Tanzania Bara.
Nadhani mafanikio ya mfumo huu wa Lowassa na Pinda ndiyo yalimsukuma JK kutest mabadiliko ya Katiba ila wale UKAWA wakamfelisha.
Ahsanteni 🐼