JF Toons
Digital Art by JF
- Feb 19, 2024
- 33
- 73
Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
Oiii VPN ON the rest BrazzersChap na watch X
Nchi zilizoendelea ni mara chache sana utakuta mtu anadokolea macho kwenye simu yako. Kwa Tanzania ni jambo la kawaida sana. Na kuna jingine: kudokolea mtu macho kama panya aliyedakwa shingo. Hili Bongo wanalo sana wanaume hasa Dar.Kimsingi wewe ndio unatakiwa utunze privacy yako kwenye Public. Mi simfanyi chochote ila nahakikisha natunza usiri wangu. Tujitahidi kuepusha Keri na makwazo kwa wenzetu kwa kutunza privacy zetu.
Kwanini nawe unashindwa kutunza usiri wako kwenye vyombo vya umma. Ficha simu yako na sio kuwasha au kuchati huku umeiweka wazi kwa umma.Nchi zilizoendelea ni mara chache sana utakuta mtu anadokolea macho kwenye simu yako. Kwa Tanzania ni jambo la kawaida sana. Na kuna jingine: kudokolea mtu macho kama panya aliyedakwa shingo. Hili Bongo wanalo sana wanaume hasa Dar.