"Ukikosa Kware mawindoni rudi na Bundi"

RIGHT MARKER

Member
Apr 30, 2018
99
360
Aliwahi kuandika mwana fasihi MBUNDA MSOKILE kwenye kitabu chake cha USIKU UTAKAPOKWISHA, kwamba; Ukikosa Kware mawindoni rudi na bundi.

• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanasubiri kazi za maofisini, hawataki kazi za juani.

• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanatafuta mchumba (mume/mke) mwenye kila kitu, hawataki mchumba wa kutafuta nae.

ZINGATIA: Ukikosa unachokitafuta, haraka sana chukua ulicholetewa.

ONGEZA: Je, msemo huu uwakumbushe akina nani?

RIGHT MARKER
Mhadhara wa 17
Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom