Duh kwa tulivyo madereva wengi wa Tz ninaona dalili ya magari mengi kupaki kwa kukosaa maderevaNimeona kushare nanyi mkakati mpya wa kupunguza ajali na kudhibiti madereva wazembe ambapo kwa sasa ukiandikiwa tu kwenye mashine maana yake unaondolewa pointi kwenye leseni yako na baada ya makosa kadhaa unafungiwa miaka m
tujadili
Nimeona kushare nanyi mkakati mpya wa kupunguza ajali na kudhibiti madereva wazembe ambapo kwa sasa ukiandikiwa tu kwenye mashine maana yake unaondolewa pointi kwenye leseni yako na baada ya makosa kadhaa unafungiwa miaka m
tujadili
Na unga mkono hojaIngawaje naunga mkono hilo swala lkn nafikiri wameanzia mbele, kwangu mimi nafikiri wangeanza kuhakikisha kila anayepata leseni kweli anastahili kuwa nayo, kuna watu wengi sana wana leseni TZ wamezipata kimagumashi na hawajui chochote khs Sheria za br, hivyo tungeanzia hapo kwanza!
Du! Asa kwaawa ndugu zetu wa daladala itakuaje maana awajama!!yakifika makosa kumi unafungiwa miaka miwili..................haiwi invalid kwanza
Leseni ni ushahidi kwamba unaweza ku drive unataka nin tena!!Ingawaje naunga mkono hilo swala lkn nafikiri wameanzia mbele, kwangu mimi nafikiri wangeanza kuhakikisha kila anayepata leseni kweli anastahili kuwa nayo, kuna watu wengi sana wana leseni TZ wamezipata kimagumashi na hawajui chochote khs Sheria za br, hivyo tungeanzia hapo kwanza!
Kila dereva ana point 15, zinapungua , zikifika 0 basi unapewa ban. kila kosa lina point zake, kuna makosa ya point 1 na kuna mengine hadi 3.Mwisho pointi ngapi leseni inakuwa invalid? na hizo point zipo centralized?