Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 19,857
- 21,860
Mfano mzuri ni kwa Paul Kagame wa Rwanda..
Hii ni awamu yake ya nne anashinda kwa kishindo cha kura za Wanyarwanda. katika chaguzi za awamu tatu mfulilizo zilizopita, Paul Kagame amekua akipata ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90%.
safari hihi sasa,
katika uchaguzi unaodaiwa kua wa huru, haki na wazi sana ulofanyika Rwanda wiki hii, huku kukiwa na amani na utulivu wa viwango vya juu sana, Rais Kagame ametamgazwa mshindi wa kiti cha Urais wa Rwanda kwa kupata zaidi ya 99% ya kura zote..
katika zaidi ya Wanyarwanda zaidi ya milioni 9 waliojiandikisha kupiga kura, 98% walijitokeza kupiga kura katika maeneo mbalimbali.
wananchi wa Rwanda wameonyesha mfano bora na mzuri wa kuigwa barani Africa.
ni nini siri ya mafanikio ya ushindi huu mnono kwa kiongizi huyu muandamizi katika Jumuiya ya Africa Mashariki?