Ukigundua kuwa partner wako amecheat, je waweza kumsamehe?

luse

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
592
1,044
Mahusiano yana changamoto nyingi, na moja ya changamoto hizo ni pamoja na watu kusalitiana.

Watu hucheat kutokana na sababu mbalimbali, zingine zinazoeleweka na zingine zisizoeleweka.

Mfano unakuta mtu hamjali their partner, au labda mpaka partner wake ampe mechi ni kwa mbinde kweli.... Hizi sababu obviously zinaweza zikamsababisha mtu acheat.

Sababu zingine ni kutokana na tamaa tu ya mtu. Hii ndo sababu ambayo haieleweki.

So tusema ukagundua kuwa partner wako alicheat either mara moja au mara nyingi, je utamsamehe?

Lets discuss.
 
Mwanamke akicheat ngumu kusamehewa ila mwanaume akicheat kusamehewa ni lazima sio ombi
Haha, huoni kama hiyo inaleta double standard. Kiaina inakuwa sio fair
 
Mimi siwezi kumsameheee namuachaa.......mkumbuke asali huwa aionjwi mara moja
Hata kama alicheat kwasababu inayoeleweka, labda ulikuwa humjali, au mechi unampa mara moja kwa mwezi n.k

Not saying ni jambo sahihi la kufanya, lakini ndo hivo mtu inampelekea kucheat.

Bado pia hutamsamehe kwa sababu hizo??
 
"Imenenwa pia, mtu akimwacha mkewe na ampe hati ya talaka; lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi, ... " Mat 5:31-32.

Imani yangu hainiruhusu kumwacha mke wangu isipokuwa "kwa habari ya uasherati". Which means kwenye makosa mengine yote anasameheka ila sio uasherati! !!
 
Mie nimeathirika na mfume dume. Mwanamke ku cheat kwangu haikubaliki. Hata kama akibakwa, nahisi nitaangalia kwanza mazingira ya kubakwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…