Ukigonga Wanyama hawa faini milioni 98

Bakalalwa

JF-Expert Member
Oct 18, 2024
583
1,011
Inawezekana ulikuwa unajiuliza maswali kuhusu ni kiasi gani cha faini utachajiwa, endapo ikatokea bahati mbaya ukagonga mnyama kwenye barabara zinazokatiza kwenye hifadhi.

Basi hapa ni baadhi ya wanyama na faini utakazochajiwa endapo ikitokea umesababisha ajali hiyo, ambazo zinaweza kufikia hadi karibu milioni 98.

Tembo- Tsh milioni 35.1, Nyati milioni 4.3, Simba Milioni 11.3, Chui milioni 8, Twiga milioni 34.6 Fisi milioni 1.2, Ngiri milioni 1, Pundamilia milioni 2.7, Nyani laki 2.54 na Swala laki 9.
1731384668651.jpg
 
Hivi kigari changu cha m 5 niambie nilipe 98m si nakuachia gari na mke tu yaishe
 
Kila mtu aishi Dar. Hakuna twiga kuna binadamu. Faini sidhani kama inafika elfu hamsini.
 
Back
Top Bottom