Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,084
- 156,841
Mapenzi yana raha mkionana, milango yote ya fahamu inakuwa kazini.
Macho yanafaidi, masikio, ulimi, ngozi na pua pia, ndio maana ni lazima mjiandae na kujiweka safi miili na chumba chenu kabla hamjaanza show.
Sasa Kuna mizigo mingine utaisikia inakwambia, "Baby tuzime taa" unataka kufanya nini tena mrembo, au unataka kuruka na ungo?
Hebu tulia....... Usikubali harakaharaka kuzima taa, anakuficha nini?