Ukiachia sie twala yarabi!

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
Helooooz mabestitoooooz nimewamisije waungwana

Ndo mwanzo wa kujipanga kwa upya sasa mwenye nazi aambiwi kuna ili iimarike ndoa yake yeye kama kajifanya tumbili basi ndo kaligomesha kwan ndani wenzie tushaona chance kwanini tusikamatie heheheheheheheheeeeiyaaaa elewa kuwa UKIACHIA siye twala kiulaini wala hatuna papara wewe uliona wapi jogoo la shamba likawika mjini thubututuuuuuuuuuu hahahahahahahha

MAMA lao ndo nimeanza KUWAFUNDA wale wote wanaochezea NDOA ZAO wewe mwanamke hujui kuwa NDOA NI HESHIMA NA NI MPANGO WA MUNGU mwenzangu wewe ushakikwaa basi wajiona bora utadhani motokaa ya MWENDO KAZI umesahau kuwa MUME anatakiwa KUPENDWA, KUSIKILIZWA, KUJALIWAM KUTUNZWA wewe ndo kwanza wajikokota eti waenda kupiga umbeya hahehahahahahahahaaa utasutwa bure mchana kweupe uje sema MAMA MFUNDAJI sijakupa SOMO wakati kila kukicha mwana wa mwenzio silali nikiandaa somo kuja kukuweka sawa usije achika mwana, kwanini hufanyi majukumu yako bibie ati kitu gani kinakupelekea ulale mpaka saa 5 ati wewe ndo ushafika kina cha 12 wakati ndo kwanza asubuhi mamiii usione nawasema hapa bali nawapa somo MJIREKEBISHE ATI mtakuja poteza bure na kula msala upitao .

NDOA ni kubembeleza ndoa ni kujituma kama mwanamke jitoee kwa mwenzi wako au sio mamito charminglady ninachosema nimekosea hapa, wapiiiiiiiiiiiiiiiii Madam B, kubwa lao wapiiiiiiiiiiii cousin Passion Lady na mwenzako Lady doctor lete utaalamu wa kitabibu watu wajifunze naona mnasinzia katika majukumu yenu mmesahau kuwa UKIACHIA WENZIO WALA kuweni makiini fanyeni shughuli zenu mlizopewa na Mungu kwani mtadaiwa kwani hamkumtunza famili zenu mnataka mtalimbo mtaweza kulinywa hhahahahaaa semaa nao sister Heaven on Earth
cha msingi simameni kwenye nafasi zenu wandugu akina mama wenzangu msiachie kwani kuna tufani hiko nyuma MKIACHIA WENZENU WALA shaurirooooo msijesema sijawaambia wakati nimeshasema mie na nimeshamwaga kwani nimekosea ati mwekundu, KakaKiiza ndo hapo mjirekebishe msijekosa maji na mwana mkalinywa mchana kweupe au sio dadalao miss chagga
hahahah haya nisameheni kama mmeboreka ndo nimewapa somo atakayekuwa na sikio asikiye na atakayeweza kujirekebisha basi ndo ajirekebishe kwani NDOA KUNA RAHA ZAKE NA MAJARIBU YAKE JIPANGE MWAMKWETU MTUNZE MUMEO NA MTII KAMA MAANDIKO YASEMAVYO.

Wasalaam

Ladyf a.k.a MAMA MFUNDAJI
 
kwani wote wanataka usawa atiiiii
mapenzi ya mwendo kasi! usiku si mume si mke kila mmoja anakazana kucoment kwenye uzi wa Galadudu imagine? utakuta kila mmoja kakodolea mimacho kwenye simu yake! mara kuna video za whatsup! mara hujakaa vizuri unasikia "wewe unachat na nani hebu leta hiyo simu hapa!" yaani tunaishi kama maroboti siku hizi ni vichekesho tupu!
 


Ha ha ha
 
Ndoa nyingi za sikuhizi hazina maana na zinaleta stress.

Bora kutokuoa / kutokuolewa.

Ndoa za heshima zilikuwepo zamani na mwisho ni 2004, kwasasa nafuu tu kule kwetu.
 
Hivi sahivi ni usiku au jioni, maana nimesoma uzi lakini sioni vizuri!
 
Me mwenyewe nimeona umbea.
Haeleweki ,kumbuka hatuko kwenye kitchen party au unyago.
Toa points za msingi !!
Unaandika kama unaongea !!!
Kuna utofauti kuna lugha za uandishi na uongeaji!!.
 
Jitahidi umtamfikia kimtindo,lakini kumbuka Lara 1 ni namba ingine kabisa au vipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…