Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,136
- 7,237
Habarini,
"Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao.
Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka 28,29, au 30 yupo single hana mtoto, halafu anakushobokea kiaina, unamtongoza anakubali kirahisi, ukichunguza vizuri unagundua kuwa amekukubalia kwasababu anaona umri unamtupa, ila angekuwa na miaka 18-21 asingekukubalia wala kujua kama mtu kama wewe una exist.
Scenario ingine unakuta mdada alikukataa kipindi ni binti wa miaka 21, miaka 8 baadae anarudi kwako kwa Kasi ya ajabu, kama vile sahivi umekuwa brad pitt.
Hao wadada unakuta kwenye prime age Yao 18-25 wame-ride the cock carousel weeee, wakagundua wanaume wanaowapenda ambao ni ma-handsome wanawala tu halafu wanasepa, bila kuweka kambi, umri unaenda ikifika miaka 28 kengele inalia kichwani mwao, so wanakua wanatafuta mwanaume ambae ana mwonekano tu wa kawaida (the so called good men), mwenye kipato, ambae anaweza kuwa a responsible baba wa familia, wanaume ambao huenda ni wewe msoma hii mada.
Ukiwaoa wanawake wa aina hii tegemea mawili, kama wana roho nzuri, na wewe mwanaume unajielewa, ndoa yenu itadumu mpaka kifo kiwatenganishe, vinginevyoooo jiandae na kitu kizito huku mbeleni...
Alamsiki