K kind2 Senior Member Mar 6, 2016 102 45 Mar 27, 2016 #1 Ukiacha VETA ni wapi kuna driving school nzuri na nafuu? Kwa maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Sinza. Kuna dogo kamaliza form 4 japo akajifunze kwa mwez mmoja.
Ukiacha VETA ni wapi kuna driving school nzuri na nafuu? Kwa maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Sinza. Kuna dogo kamaliza form 4 japo akajifunze kwa mwez mmoja.
geometry JF-Expert Member Oct 30, 2014 466 356 Mar 27, 2016 #2 Mlimani driving school opposite kakobe church