PersonnelReporter
Member
- Dec 16, 2016
- 23
- 10
Haaaahaaaa Duh mkuu ahsante kwa kunifumbua macho nilifkiri uchaguzi unasimamiwa na NEC kumbe ZEC duh! toka lini ??Siasa za Tanzania zina maajabu yake, maajabu ambayo hauwezi kuyakuta popote Duniani, hasa siasa za upinzani.
Kwa kumbukumbu zangu ACT WAZALENDO na UKAWA waligomea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar uliofanyika mwezi machi mwaka jana 2016.
Madai yao ilikuwa kukiukwa kwa misingi ya demokrasia baada ya matokeo ya uchaguzi MKUU wa mwaka 2015, oktoba 25 kufutwa.
Tukio la kufutwa lilikuja kama zao la maalim SEIF kudaiwa kujitangaza kuwa mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi huo.
ZEC chini ya Jecha ilifuta matokeo na baadae kutangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi huo.
UKAWA kupitia chama cha CUF waligomea uchaguzi huo wakishinikiza kutangazwa maalim SEIF kuwa urais wa Zanzibar.
Baada ya muda mfupi ACT WAZALENDO nao wakagomea kushiriki uchaguzi huo wakitoa tamko kupitia halmashauri kuu ya chama hicho na kutaka Maalim SEIF atangazwe kuwa rais.
UKAWA NA ACT WAZALENDO walisimamia maneno yao na kugomea uchaguzi ule wa mwezi machi 2016.
Katika uchaguzi ule wa marudio hakuwepo mgombea wa UKAWA wala ACT katika ngazi yoyote kuanzia udiwani, uwakirishi wala urais.
Ni dhahiri chanzo cha mgogoro ule ilikuwa ni tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
Ninachokifahamu Mimi hakuna marekebisho ya maana ya kiuongozi yaliyofanyika ndani ya ZEC mpaka kuwa wasafi wa kuaminiwa kuwa hawawezi kugufuta MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa Dimani.
Cha ajabu ni UKAWA na ACT wale wale wameshiriki uchaguzi unao andaliwa na ZEC ile ile.
Swali kwa UKAWA na ACT WAZALENDO.
Kushiriki kwenu uchaguzi mdogo wa dimani haiwezi kuwa sababu ya kuiaminisha Dunia kuwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wake hakuna ukiukwaji wa Misingi ya Demokrasia?
ZEC imefanyiwa mabadiriko?
Hamuoni kushiriki kwenu kwenye uchaguzi wa Dimani ni rasmi mmemtambua DR. SHEIN kuwa rais halali wa Zanzibar kwani alitangazwa na ZEC inayoandaa na bila tone la shaka itamtangaza mshindi wa Dimani?
Nipeni majibu.
Mkuu hakuna majibu mepesi viongozi wa CUF walisusia uchaguzi wa ZEC ambao ni wawakilishi urais wa zanzibar na udiwani ambao sio mambo ya muungano ila kwenye bunge la muungano CUF ina wabunge na pia uchaguzi unasimamiwa na NEC sio ZEC so kama wanashiriki ni chini ya msimamo huo maana itakuwa haina maana wakisusia uchaguzi wa NEC ilihali CUF ina wabunge kwenye bunge la muungano ambao ni zao la hiyo NEC.... i hope tumeelewanaSwali gumu sana. Subiria majibu ila jiandae kupata majibu mepesi usiboreke.
Ni vizuri wamegundua walipojikwaaSiasa za Tanzania zina maajabu yake, maajabu ambayo hauwezi kuyakuta popote Duniani, hasa siasa za upinzani.
Kwa kumbukumbu zangu ACT WAZALENDO na UKAWA waligomea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar uliofanyika mwezi machi mwaka jana 2016.
Madai yao ilikuwa kukiukwa kwa misingi ya demokrasia baada ya matokeo ya uchaguzi MKUU wa mwaka 2015, oktoba 25 kufutwa.
Tukio la kufutwa lilikuja kama zao la maalim SEIF kudaiwa kujitangaza kuwa mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi huo.
ZEC chini ya Jecha ilifuta matokeo na baadae kutangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi huo.
UKAWA kupitia chama cha CUF waligomea uchaguzi huo wakishinikiza kutangazwa maalim SEIF kuwa urais wa Zanzibar.
Baada ya muda mfupi ACT WAZALENDO nao wakagomea kushiriki uchaguzi huo wakitoa tamko kupitia halmashauri kuu ya chama hicho na kutaka Maalim SEIF atangazwe kuwa rais.
UKAWA NA ACT WAZALENDO walisimamia maneno yao na kugomea uchaguzi ule wa mwezi machi 2016.
Katika uchaguzi ule wa marudio hakuwepo mgombea wa UKAWA wala ACT katika ngazi yoyote kuanzia udiwani, uwakirishi wala urais.
Ni dhahiri chanzo cha mgogoro ule ilikuwa ni tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
Ninachokifahamu Mimi hakuna marekebisho ya maana ya kiuongozi yaliyofanyika ndani ya ZEC mpaka kuwa wasafi wa kuaminiwa kuwa hawawezi kugufuta MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa Dimani.
Cha ajabu ni UKAWA na ACT wale wale wameshiriki uchaguzi unao andaliwa na ZEC ile ile.
Swali kwa UKAWA na ACT WAZALENDO.
Kushiriki kwenu uchaguzi mdogo wa dimani haiwezi kuwa sababu ya kuiaminisha Dunia kuwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wake hakuna ukiukwaji wa Misingi ya Demokrasia?
ZEC imefanyiwa mabadiriko?
Hamuoni kushiriki kwenu kwenye uchaguzi wa Dimani ni rasmi mmemtambua DR. SHEIN kuwa rais halali wa Zanzibar kwani alitangazwa na ZEC inayoandaa na bila tone la shaka itamtangaza mshindi wa Dimani?
Nipeni majibu.
Tamko la CUF/UKAWA ni kususia chaguzi zote ambazo zitasimamiwa na ZEC ya Jecha. Kwa taarifa yako, ZEC husimamia uchaguzi wa Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na uchaguzi wa Madiwani.Siasa za Tanzania zina maajabu yake, maajabu ambayo hauwezi kuyakuta popote Duniani, hasa siasa za upinzani.
Kwa kumbukumbu zangu ACT WAZALENDO na UKAWA waligomea uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar uliofanyika mwezi machi mwaka jana 2016.
Madai yao ilikuwa kukiukwa kwa misingi ya demokrasia baada ya matokeo ya uchaguzi MKUU wa mwaka 2015, oktoba 25 kufutwa.
Tukio la kufutwa lilikuja kama zao la maalim SEIF kudaiwa kujitangaza kuwa mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi huo.
ZEC chini ya Jecha ilifuta matokeo na baadae kutangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi huo.
UKAWA kupitia chama cha CUF waligomea uchaguzi huo wakishinikiza kutangazwa maalim SEIF kuwa urais wa Zanzibar.
Baada ya muda mfupi ACT WAZALENDO nao wakagomea kushiriki uchaguzi huo wakitoa tamko kupitia halmashauri kuu ya chama hicho na kutaka Maalim SEIF atangazwe kuwa rais.
UKAWA NA ACT WAZALENDO walisimamia maneno yao na kugomea uchaguzi ule wa mwezi machi 2016.
Katika uchaguzi ule wa marudio hakuwepo mgombea wa UKAWA wala ACT katika ngazi yoyote kuanzia udiwani, uwakirishi wala urais.
Ni dhahiri chanzo cha mgogoro ule ilikuwa ni tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC).
Ninachokifahamu Mimi hakuna marekebisho ya maana ya kiuongozi yaliyofanyika ndani ya ZEC mpaka kuwa wasafi wa kuaminiwa kuwa hawawezi kugufuta MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa Dimani.
Cha ajabu ni UKAWA na ACT wale wale wameshiriki uchaguzi unao andaliwa na ZEC ile ile.
Swali kwa UKAWA na ACT WAZALENDO.
Kushiriki kwenu uchaguzi mdogo wa dimani haiwezi kuwa sababu ya kuiaminisha Dunia kuwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wake hakuna ukiukwaji wa Misingi ya Demokrasia?
ZEC imefanyiwa mabadiriko?
Hamuoni kushiriki kwenu kwenye uchaguzi wa Dimani ni rasmi mmemtambua DR. SHEIN kuwa rais halali wa Zanzibar kwani alitangazwa na ZEC inayoandaa na bila tone la shaka itamtangaza mshindi wa Dimani?
Nipeni majibu.
Muwe mnaanza kunawa kabla ya Kukurupuka kupost.Hili swali sio rahisi kujibiwa kwa hoja! Hapa yatakuja matusi, ngonjera na mipasho
UmepanicMuwe mnaanza kunawa kabla ya Kukurupuka kupost.
usichangie mada usio Na uelewa nayo....sio lazima kila post uchangie, nenda kwenye udaku
Nimeelewa nilipokuwa sijaelewa.
BY THE WAY, NINAELEWA NEC NI NINI NA ZEC NI NINI.
Poleni kwa usumbufu wachangiaji wote hata wale mlioonyesha uwezo wanu wa kutukana. Siku zote mkono hukuna unapofika na sio vinginevyo.
Umemjibu vizuri mpuuzi huyo mvivu wa Kufikiri na punguani! Mtu hajui tofauti ya Mbunge na mwakilishi! Mtu hajui tofauti kati ya rais wa Zanzibar na wa Tanzania!Kweli mwehu wewe.....uwe unafikiri kbla ya kuandika utumbo wako.....huh uchaguzi NC ndoinasimamia sio ZC
I don't see the point to blame on you because that is the end of your thinking capacity. [HASHTAG]#poor[/HASHTAG] shame on you.Ww utakuwa ni mpuuzi fulani ambaye unajifanya unajua wakati hujui lolote. Hilo tapishi lote ulikoandika bila kujua uchaguzi huo unasimamiwa na NEC na wala sio ZEC huoni kama unajitakia kutukanwa kwa uzombi wako? Sasa na hilo li insha lako umebaki na aibu kwa kuweka utupu wako hapa.