Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,914
- 23,762
Baada ya kumtambulisha kwa mbwembe, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga Andre Mtine abwaga manyanga.
Sababu za kuondoka kwake ni uswahili uliopitiliza wa Rais wa klabu hiyo Hersi. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, Rais anaingilia mipaka mpaka majukumu yanayopaswa kufanywa na Mkurugenzi.
Mtine ni mtu aliyenyooka, hapendi mapindo pindo. Anahitaji kutimiza majukumu yake kwa uhuru na uwazi. Sasa Msomali anaingilia majukumu yote as if Yanga ni mali yake binafsi.
Ukata pia umetamalaki. Mpaka sasa Wachezaji hawajalipwa mishahara ya mwezi June. Watendaji ndiyo hawajalipwa takribani miezi miwili sasa.
Mtine kaamua kuwaachia timu yao.