Ukara Fish Group: Dagaa wa kukaanga wa Mwanza

Tunapima kwa debe yani ndoo kubwa elfu40 discount ipo ukichukua mzigo mkubwa
 
Hebu tuoneshe mnavowakausha kwanza, maana wengi usafi ni mtihani, onesha mazingira ya kazi tuone process ya ukaushaji na ukaangaji.
 
changwe nimeona ukaushaji mko vizuri, siyo kama wavuvi wa zamani kumwaga dagaa mchangani. Hebu nipe bei ya gunia la dagaa wazuri kabisa wasio na mchanga.
 
Safi sana...So mkuu hiyo 40,000 ni kwa waliokaanga right na viungo?Nipo Dar naweza chukua.But situmii mafuta ya Pamba...kama unewakaanga kwa mafuta ya alizeti au ya Sangara ni poa,au ata ya ufuta.Na jee si wachungu?maana najua hujawatoa utumbo.
 
Tunawakaanga kwa mafuta ya korie hawa sio wachungu ni watam sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…