Ukame wa hela mtaani, pamoja na free papuchi kupungua kwa kasi ya 4G

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,639
Hello,

Huku mtaani kila mdada ukimtongoza (98.9% of them) lazma aombe zawadi na usipotoa, papuchi hupati, tena na hiv makufuli alivositisha ajira kwa miezi 2, uwiii hali ndo imekuwa tete..

Inabid serikali iwatoze wadada kodi, kutokana na hii mizinga wanayotupiga, nina imani serikali itakusanya mabilioni ya shilingi wakianzisha huo mfumo..
 
Ni kweli wangechaji kodi hata kwa wadada poa ila wakichaji kodi wataifanya kama ndio kazi ya halali
 
yaan huu ndio wakati wakuwagegeda mpaka basi...yaani full njaaa mtaani.
 
Pesa imekuwa adimu hivo huo muda wa kusaka papunch unaupata wapi?
Nw wanajilengesha tu accidentally wakiona unazo
 
ukiona papuchi hupati bila hela tambua ya kua umeshakua mkubwa maana vitu free ni kwa ajili ya watoto
 
Ili kwenda sambamba na Mjomba Magu,hatuna budi tuwe msichana mmoja mnaeaminiana na kushibana
 
sasa serikali kusimamisha ajira kwa miezi 2 wewe inakuathiri nini na hizo papuchi?
acha kutegemea serikali utakufa maskini kijana
 
kula mizigo kijan ndo dawa tuuu ,,,,,wakamue sana tu mkuu tena asa hv wanapatikana kwenye mitandao ya instagram
 
Wooozaaah,
Yung, wild, & free....

Papuchi new brand. - tshs 50,000/=
Papuchi user - tshs 20,000/=

Ofa ya sikukuu/ punguzo la bei.
Papuchi - tshs 8000/=

Mm daily nanunua papuchi hizi na risiti juu.
 
Tuliokuwa tunapata pesa kihalali mambo bado ni shwri... hakuna ukame...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…