Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
6,739
13,833
Kama utahitaji kupinga hili basi wewe ni mbishi tu tangu kuzaliwa.

Ukabila nchi hii upo nje nje kabisa ni rahisi sana kukuta watu wa kabila moja wako zaidi 96% kuliko makabila mengine ikiwa tu Boss ni wa kabila husika.

Utafiti wangu mfupi nimebaini hili jambo lipo katika kila sehemu halafu sio Tanzania tu hata kwa wenzetu.

Ikitokea Boss akatimliwa basi Boss ataye kuja lazima atakuja na safu yake na ataanza kufukuza watu alio wakuta kwa style fulani fulani au kuwashusha vyeo pamoja na kuwapunguzia mishahala ili mradi tu waichukie kazi na kuacha alete wa kwakwe.

Hapa kuna kitengo cha wakina shomire nimekuja kugundua kati ya wafanyakzi 44 wa kitengo hicho ni 11 tu ndo sio kabila husika na la boss.

Ukienda kwa wakina shirima na shayo usiseme ukigeuka wakina mwamposa na mwandosya wao hata aibu hawana wamepangana kaka mtu na wadogo mtu kitengo kimoja(hapa nazungumzia ingekuwa shuleni basi mkuu wa shule,second na mtaaluma wote wawe wa tumbo moja).

Basi ukija kwangu wakina malendeja na masanja hali ni ile ile na makabila mengine ni vilevile.

Hali hii hadi makanisani hasa haya makanisa ya wajasiria mali njaa. Mambo ni yaleyale.
Vijana wengi wameumizwa sana.

Mwishoni mwa mwaka jana kuna Boss alifukuzwa kazi kwa kuendekeza U simba na yanga.Ilikuwa ukiwa simba basi usijionyeshe hadharani wewe na ushabiki wako na kilichofanya afukuzwe kazi aliwapa ruhusa mashabaki wote wa yanga kwenda kuangalia mpira akabaki na mashabiki wa simba wa siku hiyo hiki kitendo kiliwakera mashabiki wa simba hadi kwenda nae HR Ukiambatanisha na kero na tuhuma za nyuma za mambo hayahaya akafukuzwa kazi.Na ndiko tuendako nawaambieni ipo siku hili litakuwa kubwa pia.

Nadhani mmekwisha kuona kwenye msiba au sherehekuna madaftari ya simba na yanga na mbwembwe zingine za kijinga.(Nimeunganisha hili pia maana linafanana na ubaguzi wa kikabila tu)

Pia kuna hii tabia ya kuangalia usoni na kupeana kazi hii hadi kwenye teuzi huko majuu wizarani hii tabia ishaota matawi na kuzaa watoto hadi vitukuu. Imefikia wakati sasa hadi ualimu wanaajiri kwa kujuana huyu ni mtoto wa mjomba,dada,shangazi ama wa baba mdogo.

Muda sio mrefu tutawafikia kenya na kuwazidi mpo hapa. Sasa hivi hata kama CV yako imeshiba namna gani bila connection wewe kauze mayai mtaani tu hakuna atakaye jari hata kidogo na pengine Cv yako utaikuta jararani huko imetupiliwa mbali.

Hii hali ndo imetufikisha hapa kupata wataalumu wasio na weredi wowote kwani kazi wamepeana kwa kujuana au kwa rushwa.Wengi sana waapo mtaani wenye sifa kuliko waliomo maofisini.

Mfano mdogo tu nenda mahospital kuanzia mapokezi utakavyokuwa unajibiwa kana kwamba huyo anayekupatia huduma kalazamishwa kuisomea hiyo kazi ni very careless.,

Niliwahi kulazwa hospital fln kubwa (VIP) Asubuhi ile kuna mdada mfanya usafi anadeki kwenye chumba changu nami nimelala basi akiwa anaendelea na usafi Dr wangu akaingia na kuchafua pale.Baada ya Dr kutoka yule binti mfanya usafi alimfyonza na kisha kutoa maneno makali.

Ni kamwambia ujue hii kazi yako inategemea watu wachafue ndo ufanye usafi imagine kama pangekuwa pa safi siku zote hapa wewe ungeipata hii ajira? Hujui kwamba huyu Dr pengine anahudumia wagonjwa zaidi ya 100 na hapo ukute ana kipindi anaenda kufundisha?(Dr alikuwa ni profesa maana mara kadhaa alikuwa anakuja na wanafunzi wake kuniuliza maswali)

Nilijikaza kumwelewesha yule binti na mwisho ni kamwambia haya ndiyo madhara ya kupeana kazi kwa kujuana. Siku ukifanikiwa ukawa na kampuni yako usifanye makosa haya .

Tusipokuwa na umoja na kutanguliza maslahi ya Taifa kwanza ipo siku hali itakuwa mbaya sana na tutakuwa tumechelewa mno kuliko sasa.
 
Walinzi ndio wapenda ukabila sana.
Ukiacha wa simba na yanga---pia wavuta fegi wana ubaguzi sana.
Kama bosi wako anavuta fegi/msuba--ukitaka kupandishwa--vuta nae hata kijiti kimoja tu(Utanishukuru baadae)
Mkuu wewe unaona ni sawa? Mimi naona mtu apandishwe cheo kwa sifa kuwa anastahili kuwa alipo sio kwa kuvuta fegi na boss
 
Nimefanya kazi ukanda fulani mkoa fulani wenye makabila makubwa mawili japo yapo na mengine madogomadogo. Ofisa elimu akiwa wa kabila fulani basi wakuu wa shule na idara wanakuwa wa kabila lake. Sisi wa mikoani tunabaki hatuna wadhifa wowote. Hayo makabila mawili ni kama wamezoea bosi akiwa wa kabila lao basi top squard inakuwa ni kabila lake upendeleo ni mwingi wanasaidiana wao kwa wao mpaka tone la mwisho
 
Hii iko wazi mkuu siyo huku ni Tz yote
 
Tribalism sio nzuri kiukweli japo ipo, I Nomadix the third nakemea kwa nguvu zote vitendo vya kibaguzi kwa namna yoyote ile kidini,kisiasa,kiumri,kirangi,kikabila na namna nyingine yoyote ya ubaguzi.
 
Anzia kwenye watu wanaotoka mkoa wa mara.kisha nenda mbeya then bukoba na wasukuma.wachaga ni watu talented sana hata kama wasipoajiriwa au kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa bado wanauwezo wa kujiajiri na kuanziasha biashara zao na makampuni yao.sasa mtu akianzisha kampuni yake ni wazi anaweza kuwa ceo mwenyewe na watoto wake akawapa ajira.Kama wafanyavyo wahindi.
 
Kama utahitaji kupinga hili basi wewe ni mbishi tu tangu kuzaliwa.

Ukabila nchi hii upo nje nje kabisa ni rahisi sana kukuta watu wa kabila moja wako zaidi 96% kuliko makabila mengine ikiwa tu Boss ni wa kabila husika.

Utafiti wangu mfupi nimebaini hili jambo lipo katika kila sehemu halafu sio Tanzania tu hata kwa wenzetu.

Ikitokea Boss akatimliwa basi Boss ataye kuja lazima atakuja na safu yake na ataanza kufukuza watu alio wakuta kwa style fulani fulani au kuwashusha vyeo pamoja na kuwapunguzia mishahala ili mradi tu waichukie kazi na kuacha alete wa kwakwe.

Hapa kuna kitengo cha wakina shomire nimekuja kugundua kati ya wafanyakzi 44 wa kitengo hicho ni 11 tu ndo sio kabila husika na la boss.

Ukienda kwa wakina shirima na shayo usiseme ukigeuka wakina mwamposa na mwandosya wao hata aibu hawana wamepangana kaka mtu na wadogo mtu kitengo kimoja(hapa nazungumzia ingekuwa shuleni basi mkuu wa shule,second na mtaaluma wote wawe wa tumbo moja).

Basi ukija kwangu wakina malendeja na masanja hali ni ile ile na makabila mengine ni vilevile.

Hali hii hadi makanisani hasa haya makanisa ya wajasiria mali njaa. Mambo ni yaleyale.
Vijana wengi wameumizwa sana.

Mwishoni mwa mwaka jana kuna Boss alifukuzwa kazi kwa kuendekeza U simba na yanga.Ilikuwa ukiwa simba basi usijionyeshe hadharani wewe na ushabiki wako na kilichofanya afukuzwe kazi aliwapa ruhusa mashabaki wote wa yanga kwenda kuangalia mpira akabaki na mashabiki wa simba wa siku hiyo hiki kitendo kiliwakera mashabiki wa simba hadi kwenda nae HR Ukiambatanisha na kero na tuhuma za nyuma za mambo hayahaya akafukuzwa kazi.Na ndiko tuendako nawaambieni ipo siku hili litakuwa kubwa pia.

Nadhani mmekwisha kuona kwenye msiba au sherehekuna madaftari ya simba na yanga na mbwembwe zingine za kijinga.(Nimeunganisha hili pia maana linafanana na ubaguzi wa kikabila tu)

Pia kuna hii tabia ya kuangalia usoni na kupeana kazi hii hadi kwenye teuzi huko majuu wizarani hii tabia ishaota matawi na kuzaa watoto hadi vitukuu. Imefikia wakati sasa hadi ualimu wanaajiri kwa kujuana huyu ni mtoto wa mjomba,dada,shangazi ama wa baba mdogo.

Muda sio mrefu tutawafikia kenya na kuwazidi mpo hapa. Sasa hivi hata kama CV yako imeshiba namna gani bila connection wewe kauze mayai mtaani tu hakuna atakaye jari hata kidogo na pengine Cv yako utaikuta jararani huko imetupiliwa mbali.

Hii hali ndo imetufikisha hapa kupata wataalumu wasio na weredi wowote kwani kazi wamepeana kwa kujuana au kwa rushwa.Wengi sana waapo mtaani wenye sifa kuliko waliomo maofisini.

Mfano mdogo tu nenda mahospital kuanzia mapokezi utakavyokuwa unajibiwa kana kwamba huyo anayekupatia huduma kalazamishwa kuisomea hiyo kazi ni very careless.,

Niliwahi kulazwa hospital fln kubwa (VIP) Asubuhi ile kuna mdada mfanya usafi anadeki kwenye chumba changu nami nimelala basi akiwa anaendelea na usafi Dr wangu akaingia na kuchafua pale.Baada ya Dr kutoka yule binti mfanya usafi alimfyonza na kisha kutoa maneno makali.

Ni kamwambia ujue hii kazi yako inategemea watu wachafue ndo ufanye usafi imagine kama pangekuwa pa safi siku zote hapa wewe ungeipata hii ajira? Hujui kwamba huyu Dr pengine anahudumia wagonjwa zaidi ya 100 na hapo ukute ana kipindi anaenda kufundisha?(Dr alikuwa ni profesa maana mara kadhaa alikuwa anakuja na wanafunzi wake kuniuliza maswali)

Nilijikaza kumwelewesha yule binti na mwisho ni kamwambia haya ndiyo madhara ya kupeana kazi kwa kujuana. Siku ukifanikiwa ukawa na kampuni yako usifanye makosa haya .

Tusipokuwa na umoja na kutanguliza maslahi ya Taifa kwanza ipo siku hali itakuwa mbaya sana na tutakuwa tumechelewa mno kuliko sasa.
Tumlaumu mkoloni aliyependa kuishi maeneo ya miinuko na baridi hapa nchini na kuanzisha shule na makanisa huko.Jambo hili lilipelekea maeneo hayo kupata elimu kuliko maeneo mengine nchini.Matokeo yake yalionekana kwenye ajira yakitawaliwa na hao uliowataja.Tunamshukuru Mwalimu kuliona tatizo na kuanzisha shule zilizosomesha hata wabarabeid hata kwa maksi ndogo walipelekwa sekondari.Philosofia ya mwalimu ilianza kuondoa ukabila ktk ajira taratibu kwa sababu elimu iliwafikia makabila yote nchini.Haya unayosimulia ni matokeo ya ukoloni kwamba hao uliowataja walikutangulia lakini sio nyakati hizi.
 
Anzia kwenye watu wanaotoka mkoa wa mara.kisha nenda mbeya then bukoba na wasukuma.wachaga ni watu talented sana hata kama wasipoajiriwa au kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa bado wanauwezo wa kujiajiri na kuanziasha biashara zao na makampuni yao.sasa mtu akianzisha kampuni yake ni wazi anaweza kuwa ceo mwenyewe na watoto wake akawapa ajira.Kama wafanyavyo wahindi.
Siyo kweli kuwa wachaga wanaweza kujiajiri wote. hapa nilipowataja kama wakina shirima na shayo ndo wachaga wenyewe.Kuna idara wamejazana hadi wakati fulani kichaga imegeuka kuwa lugha ya mawasiliano mle.Nilijua tabia ya kuongea kilugha hadharani ni ya wasukuma na waha kumbe hata wachaga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom