Ujumbe wa Wema Sepetu na wengine katika birthday ya Lulu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,491
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa Elizabeth Michael aka Lulu. Mastaa kibao wanampongeza muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua aliyekuwa muigizaji mwenzake Steven Kanumba bila kukusudia.

Da6I_KQVMAE-vq_.jpg

Wema Sepetu
Today your Celebrating your birthday away from home, away from your loved ones… Dats a feeling no one can bare with… But Inshallah baby, In our prayers you will Live… Nakupenda na Nakumiss…

Paul Makonda
Kumbe wanaokuombea mema wako wachache ila wenyenyuso za huzuni wako wengi japo hawamaanishi. Na kwakua Mungu ametenda basi watakuja tena na nyuso za furaha japo hazina mahusiano na mioyo yao. Kwakifupi hii ndiyo dunia ambayo Mungu amekuongezea tena mwaka wa kuishi. Happy birthday mwanangu
 
Makonda anatengeneza mazingira ya kum masogange Lulu!! Yeye si naibu rais?si atoe tu tamko ili lulu awe huru?
 
Back
Top Bottom