bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 661
- 1,797
Moderaror ningewaomba msiuunganishe uzi huu nna ujumbe Direct kwa mama Tafadhali
Mama habari za leo na pole na majukum ya kuliongoza Taifa
Mama kwa kipindi cha miaka yako mitano ya uongozi wako una mazuri ila lipo jambo ambalo inabidi ubadilike maana sio zuri Mama yetu
Mama ili Sehem yoyote iwe na maendeleo ni lazima kiongozi apate mda wa kutosha ili apanyooshe pasipo kuhamishwa hamishwa hata mamlaka za Urais laiti kungekuwa na mamlaka za kifalme ambazo zinatengua Rais na kuteuwa mpya wanavyojiskia basi kusingekuwa na Dira ya Taifa maana kila mtu angekuja na jambo lake ndani ya muda mfupi
Mama katika miaka yako mitano umetengua kuteuwa na kuhamisha kwa kasi kubwa sana kitu ambacho hadi sasa sijaona kikileta mafanikio na awamu yako ya kwanza ndio inaishia kimasihara na ukifanikiwa kupita awamu ya 2 basi jua umebakiza mda mfupi kustaafu mean inawezekana hata miaka mitano iliyobaki ukaishia kuteuwa na kutengua na hautojua shida ni nini.
Mama nakushauri teua mtu sehem mpe miaka yote mitano afanye kazi mtu kazi ikimshinda fukuza na teua mpya kakini kuhamisha viongozi hakutakuwa na maendeleo maana kila mtu atakuwa anakuja na jambo lake na project zake na ndani ya muda mfupi unamuondoa unamuhamisha na alichokianzisha ndio kimeisha akija mwingine anakuja na lake hapo hatuwezi fanikiwa
Kwa mfano Kisarawe hadi sasa washapita madc kama watatu kila anaeingia ana lake, Jokate nakumbuka aliteuliwa Temeke akaja na project ya boresha mwembeyanga iwe ya kisasa na kweli akaianzisha project ya kuijenga mwembeyanga ila aliyohamishwa tu na mwembeyanga ikabaki vile vile maana yake aliyekuja haikuwa project yake kaja na la kwake
Waziri Jerry Slaa ameingia hapo kwenye Ardhi tumeona kapambana kusaidia watu kupata haki zao na akaanza kuinyoosha hiyo wizara na kupambana na wahuni wanaozulumu ardhi za watu ila ndani ya miezi michache tu umemtoa ukamuhamisha sasa hatujui unataka nini hasa, na huyo aliyekuja naye atakuja na lake mwisho wa siku hautajenga chochote na mda unaenda
Ushauri wangu mama wape viongozi nafasi sehemu moja na mtu kazi ikimshinda usimuhamishe ni heri umtoe moja kwa moja, mpe mtu sehem mda apanyooshe akishindwa muondoe mama ila usihamishe hamishe sana