Watu wengi hawafahamu kwamba "Bila Ofisi ya Papa Francisco, makanisa yangekuwa mengi mno duniani yenye mafundisho potofu kwasababu kungekuwa hakuna kanisa Katoliki ambalo ni moja, Takatifu, Katoliki na la mitume; ulimwenguni kote.
Hebu fikiria kama kungekuwa hakuna kanisa Katoliki Tanzania, kila mkoa kungekuwa na madhehebu mangapi ya watu binafsi yenye mafundisho ya uongo ili kupata wafuasi kama biashara badala ya kuwaelekeza watu kwa Mungu, sembuse dunia nzima?
Au fikiria Mechi uwanjani ambayo haina kiongozi mkuu (Refa) Je, mechi hiyo itaweza kudumu?
Yesu alimuweka Petro kama kiongozi wa mitume(Mt. 16:18) Lakini Yesu alijua Petro ni binadamu atazeeka na kufa. Je, kanisa lake litaishia hapo? Hapana lazima injili itangazwe kwa mataifa yote chini ya kiongozi mmoja.
Kwahiyo wakristo wote duniani wanapata nguvu ya umoja kwa kuunganishwa na mrithi wa Mtume Petro (Papa Francisco) kwa njia ya Kanisa Katoliki kama mama wa madhehebu yote.
Tukijua kwamba Kristo amekufa kwa ajili ya watu wote, Baba Mtakatifu ana wajibu wa kuongoza roho za watu wote Mbinguni kupitia wasaidizi wake maaskofu.
Mwisho kabisa nawakumbusha, wakristo wenye chuki na Kanisa Katoliki, wasitumie pia Biblia kwasababu Biblia ni kitabu cha kanisa Katoliki🇻🇦🇻🇦