Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,534
- 9,713
Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja.
Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia Hezbullah. Ayatollah kawajibu Hezbullah haihitaji silaha kutoka Iran, alizo nazo zinatosha kumuangamiza israel. Anasema pia anauhakika 💯 Israel hawezi kumshinda Hezbullah. Israel anacho fanya ni kukimbilia kuwauwa civilian sababu hawezi pata target za Hezbullah.
View: https://www.youtube.com/live/qEtaopW7KMo?si=DbXCe837czaoO1X6