Ujumbe: Hakuna aijuaye Kesho...!

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
NANI AIJUAYE KESHO ?

Mwaka 1985 Huko Nigeria, Dasuki alimkamata Buhari.

Mwaka 2016, Buhari alimkamata Dasuki.

Mwaka 1995, Al Mustapha alimkamata Obasanjo kwa amri ya General Abacha.

Mwaka 1999, Obasanjo alimkamata Al Mustapha na kufungwa jela kwa miaka 8.

Mwaka 2005 nchini Spain, Diego Simeone alikuwa chini ya Fernando Torres. Torres alikuwa nahodha wa timu licha ya kuwa mdogo mbali kuliko Simeone; lakini alifanya kile Torres amemuamuru.

Mwaka 2016, Diego Simeone sasa ni kocha wa Fernando Torres. Torres sasa anafuata amri kutoka kwa Simeone.

Miaka ya 90 chini ya Serikali ya Rawlings Dk Spio Gabriel alikuwa waziri wa mawasiliano na John Mahama alikuwa makamu wake.

Leo John Mahama ni Rais na amemuajiri bosi wake wa zamani kama waziri.

Maisha ni kama sarafu iliyorushwa juu hewani. Kwa kweli huwezi tabiri upande itakayo angukia.

Hakuna mtu anakaa juu milele. Ni suala tu la muda na Msimu.

Yule Mtu uliyemdharau / kuwadharau / kuwatendea kama uchafu na kujifanya kama Mungu kwake leo, anaweza kuwa na udhibiti/kuendesha maisha yako /Elimu au kuokoa kichwa chako kesho. Hakuna aijuaye Kesho!.

Mtendee kila mtu kwa heshima na kuonesha baadhi ya wema kwa sababu siku zote kutakuwa na kesho. Kuwa mwema kwa wote.

Mtu Mkubwa au Tajiri leo, anaweza kuwa Chini au maskini kesho kwa sababu hakuna kitu cha milele katika maisha.

DAIMA TUMIA MADARAKA NA NAFASI YAKO kwa uangalifu na kwa faida ya wote.

Daima simamia kwenye kile kilicho cha haki, na halali.
Kama Mugabe alivyosema: *"Tumia kila upande wa taulo kwa uangalifu kwa sababu sehemu hiyo hiyo iliyotumika katika kusafisha matako yako leo, inaweza kuwa sehemu hiyo hiyo utatumia katika kusafisha uso wako kesho."*

TUKUMBUKE KWAMBA.

MATENDO BILA FADHILA NI BURE , KUSUDIO LETU KUU KATIKA MAISHA NI KUWASAIDIA WENGINE NA KAMA HUWEZI KUWASAIDIA, ANGALAU USIWAUMIZE.

@ Justin Mwanshinga
 
Hivi nyie wezi wa rasilimali za nchi mlitaka magufuli awachekee tu kisa hajui kesho itakuwa nani. Nchi ulikuwa imejaa wezi kila kono. Hata Dr bana siku hizi kakaa kimya mana miladi hewa ndo ulikuwa inamfanya kuifagilia sana ccm kwa kila jambo sasa imekata na yeye kachanganyikuwa pia. Magufuli usiteteleke huku mtaani tunaheshimiana sana na usawa umekuja na pia heshima ya wasomi imerudi. Zamani MTU anaungaunga elimu baada ya mda unamkuta crdb kisa ni mchaga na managing director ni mchaga.
Hata udsm kulikuwa kuna uchaga sana ili uwe lecturer hata kama una GPA ya ajabu lakini ukiwa mchaga tu ni kupigiana pasi. Ndo mana mmechanganyikiwa baada ya dili zenu za hivyo kugoma
 
Yeye hakuiba rasilimali za umma tangu enzi za Mkapa hadi za Kikwete?
 
Yeye hakuiba rasilimali za umma tangu enzi za Mkapa hadi za Kikwete?
Hajaiba ndo mana yuko serious na kudeal na vibaka mliotufisha hapa tulipo. Magufuli songa mbele sisi tunakuelewa Ila wapigaji hawawezi kukuelewa never. Kila kona ulikuwa ni deal tu. Utashangaa mhsibu akiajiliwa mwaka mmoja ana BMW na nyumba. Wizi ulikuwa umetamalaki. Siyo wewe tu uliyechanganyikiwa hata wabunge mwezi na wa madeal kama akina zitto na mnyika wa me cha gani kuwa pia
 
Hivi huwezi kuchangia bila ya kutaja kabila la mtu?
 
Kwahiyo UDSM kwasasa iko chini ya wachaga aaah basi wewe utakua 1/4
 
Kumbe ndio maana mkapiga na rambi rambi
 

Kweli ajaiba,kwanini meli ya Mv Dar es salaam imepaki wakati aliizindua kwa mbwembwe?
Vipi kuhusu nyumba za serikali alizobeba mafaili kwapani na kugaia ndugu zake?
Vp kuhusu barabara zilizochinjwa ili aibe hela za serikali?
 
Hahahahaaaaaa Gujalati,we baniani au?maana kuna jimbo moja huko India linaitwa Gujarati,umewapasulia mawimbi kama muziki wa Darassa,pasua anga weka muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…