Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 290,233
- 746,176
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno
Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi hivyohivyo, Ardhi na kila eneo lenye hela vyote sasa hivi wachina wanajibebea kwa bei sawa na bure. Hawa laki 3 wanaokuja ni ma tycoon tupu.. Watakaobaki ama watakaorudi kuwekeza hawawezi kupungua elfu 5 mpaka 10
Ni wakati wa kulisimamia taifa kizalendo zaidi na kuepuka vizawadi vya tv na simu. Waliopo Tanganyika tayari wanahodhi ma ardhi makubwa ya hekari nyingi sana kwa mkataba wa miaka 99.. Hivi ni vizazi vitatu.. Wanaokuja nao watapita humohumo
Je, baada ya hiyo miaka 99 tutakuwa tumebakiwa, tumebakishiwa nini? Mpango huu wa kuwaleta wachina wengi kiasi hiki kwa ajili ya fursa za uwekezaji na biashara hauna afya sana kwa taifa kama tusipokuwa makini sana
Hawa wanaletana na kuja kufanya makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. Baada ya vizazi vitatu tutakuwa na taifa gani?