Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,167
- 14,467
Raha ya ujinga ni kushare na wenzako kama ambavyo nami nashare huu ujinga na nyinyi.
Ilikuwa way back nakumbuka tuko shule ya msingi,ilikuwa kitaani kwetu kwa washua katika kota za wafanyakazi wa Chuo cha CCM Lushoto Tanga.
Brother mmoja,kwa mujibu wa brother mwingine ambaye ni best yake,alisema kwamba huyo best yake alimfukuzia madam mmoja kwa mda mrefu sana, inaelekea alipata usumbufu sana kiasi ambacho alipanga akimpata basi kuna show atampa si ya nchi hii.
Sasa siku ikawadia kweli madam akaamua ambless huyo brother,kwakuwa ahadi ni deni basi mwamba akaamua atimeze ahadi yake, kama nilivyosema hapa awali hakuna jambo zuri kama kushare ujinga na wenzako.
Basi huyo brother naye akaona hawezi kufanya show bila mwenzake kushuhudia huo ujinga,akaacha sehemu ya dirisha wazi ili mwanae au brother mwenzake apige chabo.
Sasa huyu nae ambaye amealikwa ku-share ujinga akaona hapana,hawezi kuona ujinga peke yake akaamua kuja kwa jirani yake mmoja washee wote, kwa bahati nasi madogo tulikuwa maeneo hayo,nakumbuka ilikuwa mida kama ya saa mbili usiku hivi.
Ndio wote tukaona isiwe taabu, tukaone ujinga wa mabrother, tukafika eneo la tukio,tukaanza kupiga chabo, sasa naona katika movement ya kupishana kupiga chabo,madam akashtuka akamwambia mwamba kuna watu dirishani, so ikabidi brother aje ashushe pazia vizuri.
Hatukujua kama gemu iliendelea au laa,ninacho kumbuka kesho mida ya saa 4, naitwa darasani kuwa kuna brother anakuita, dah kwenda laa haula kumbe brother wa jana aliyekuwa na madam,akasema dogo najua jana nawe uliona tukio zima kwahiyo naomba upige kimya usimwambie mtu yoyote yule
Nikamwambia brother poa nimekuelewa, sasa najiuliza je, kati ya yule brother aliye mwalika mwenzake kucheki akimla madam na yule brother aliyemfuata brother mwengine wacheki game wote nani ni mjinga zaidi.
Je, mimi ninaye kuhadithia na wewe unayesoma nani mjinga?
Ni hayo tu!