Hatari sana, yaani Kinu cha Nyuklia cha Kuzalisha Umeme kinapatikana na changamoto hii, je taifa kama la Kenya wenye mawazo ya kuwa na kinu cha nyuklia kuzalisha nguvu za umeme wanaweza kupambana na ''virusi'' kama hivyo mfano virusi vya kuchochea joto lizidi mpaka kinu kupasuka?