Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,790
Huyu bwana akiwa huko aliko aliamua kujenga nyumbani. Aliomba ndugu ammtafutie kiwanja na kufanya inanla ya pesa. Baada ya malipo kukamilika hata mimi ninashangaa kuwa hakuona ukubwa wa kiwanja katika karatasi ya mauziano. Alanza kuşkulular na kibali cha ujenzi na kutuma pesa za ujenzi.
Alifika nyumba ikiwa kwenye linter na hakuna nafasi ya kuchimba shimo la maji machafu. Huyu ndugu yake aliyesimamia jengo aliacha nafasi ya parking tu mbele ya nyumba. Ilibidi ambembeleze jirani kumuuzia eneo lake. Ujenzi wa whatsup Una madhara na hasara.