Mfalme Daudi III
Member
- Apr 7, 2016
- 55
- 31
Wadau, mafundi ujenzi, ninaomba msaada, ninayo ardhi kubwa sana, ila nimechoka kupanga na headaches za landlord. Nimejibana nikakuta nina milioni 6, je ninaweza kujenga ka nyumba kadogo
kenye atleast two bedrooms sebule ka jiko n.k. yaani niweze kujenga kumaliza kwa bei hiyo!?,
Asanteni!?
2 bedrooms, jiko,sebule hutaweza hata 10m haitoshi kujenga mpaka iishe.Wadau, mafundi ujenzi, ninaomba msaada, ninayo ardhi kubwa sana, ila nimechoka kupanga na headaches za landlord. Nimejibana nikakuta nina milioni 6, je ninaweza kujenga ka nyumba kadogo
kenye atleast two bedrooms sebule ka jiko n.k. yaani niweze kujenga kumaliza kwa bei hiyo!?,
Asanteni!?
IUnaweza ila nyumba isiwe na mbwembwe na bati piga mgongo wa Tembo utavyopaua mana haimalizi hela utatumia gharama kidogo mana bati haziwi nyingi
Unaweza ila nyumba isiwe na mbwembwe na bati piga mgongo wa Tembo utavyopaua mana haimalizi hela utatumia gharama kidogo mana bati haziwi nyingi