Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,096
- 4,210
Moja ya jambo nililojifunza katika miongo kadhaa niliyojaliwa katika maisha yangu ni kuelewa kuwa Dunia imejawa na watu wengi waoga na ujasiri siyo kufanya jambo bila woga au hofu ila ni kuendelea kufanya jambo licha ya uwepo wa hofu na mashaka.
Kwa maana nyingine mtu jasiri haimaanishi anafanya mambo yake bila hofu au mashaka ila anafaya mambo hivyohivyo hata kama kuna hofu na mashaka.
Hatupaswi kufanya mambo kila wakati kwa kuongozwa na hisia, yaani tunafanya mambo pale tunapojisikia na kuacha kufanya kutokana na kutojisikia au kutohisi kufanya na badala yake tunapaswa kufanya bila kujali tunajisikiaje Ili mradi hatukiuki taratibu.