dogman360
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 105
- 178
Uhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua ili kukabiliana na changamoto za ulimwengu wa kisasa.
Nimeona Ukristo unajitahidi kuendana na hii karne. Je, unaaminj Uislam utaweza?
Maana dini yeyote ambayo haiendani na nyakati huwa inakufa (mifano ni mingi sana )
Nini mtazamo wako juu ya hili?
Nimeona Ukristo unajitahidi kuendana na hii karne. Je, unaaminj Uislam utaweza?
Maana dini yeyote ambayo haiendani na nyakati huwa inakufa (mifano ni mingi sana )
Nini mtazamo wako juu ya hili?