Uislam na Ukristo (Monotheism) havina nuru

Hamissi Hamza Jr

Senior Member
Apr 16, 2020
105
211
Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote",
Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu".

Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa Uelewa Wangu wa Kupembua Mambo Nimejiridhisha Na Kuthibitisha Uwepo Wa Mungu".

Ila Kwa Miaka 23 Ya Uwepo Wangu Duniani Na Miaka 20 Ya uwepo Wangu kwenye Monotheism Nime experience Imani Hizi Hazina Nuru".

Kuna Giza katikati Ya Maisha Ya Waislamu Na Wakristo Ndio Maana Maradhi,Umaskini Na Mateso Ni Sehemu Ya Maisha Ya Waumini Wa Imani Hizi".

Ni Ajabu Waabudu Shetani,Waabudu Mizimu na Vigagula Kuwa Juu kwa kila kitu kuliko Monotheism",

Nahisi kuna Vitu vingi vipo coded Na Waisrael(Jewish) Pekee Ndio Wanaweza kuwa Na Majibu Sahihi Namna Ipi Ya kuabudu na Kupitia Utaratibu Upi",

No Offense Njoo Na Codes Pekee tufungue locks za ufikiri".
 
Nadhani jikite kwenye swala la maisha kwanza kwa Sasa! Yakikaa Sawa maswali haya yanajibika kirahisi tu mbona?!!
 
Back
Top Bottom