#COVID19 UINGEREZA: Mtoto wa miaka 13 afariki kwa ugonjwa wa COVID19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
677
1,098
Mvulana huyo alipimwa na kuthibitika kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus na familia yake ikieleza kuwa Mtoto wao hakuwa akisumbuliwa na magonjwa mengine

Kijana huyo anakuwa Muingereza wa kwanza mwenye umri mdogo zaidi kufariki kwa #COVID19 baada ya Msichana wa miaka 12 kufariki kwa ugonjwa huo huko Ubelgiji

Taarifa hii, imewashtua wengi na imeleta mtazamo mpya kuhusu rika la watu wanaoweza kuathiriwa zaidi endapo wataambukizwa Virusi vya Corona

=====

A 13-year-old British boy has died days after testing positive for coronavirus, hospital officials and his family said on Tuesday, with relatives saying he had no underlying illnesses.

The boy, who died Monday, is believed to be Britain’s youngest confirmed death in the coronavirus pandemic. A 12-year-old girl, whose death was confirmed earlier on Tuesday in Belgium, is thought to be Europe’s youngest victim.

A spokesman for King’s College Hospital NHS Foundation Trust said: “Sadly, a 13-year old boy who tested positive for COVID-19 has passed away, and our thoughts and condolences are with the family at this time.”

“The death has been referred to the coroner and no further comment will be made.”
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom