Uhusiano wa China na Vetnam ni mbaya sana

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Najiuliza maswali mengi ni kwa nini serikali imeamua kualika uongozi wa Vietnam iliyo na uhusiano mbaya kabisa na rafiki wetu wa karibu China,,,,,,maswali ni mengi kuliko majibu na imani yetu ni kwamba serikali inajua inachokifanya.
 
The relationship between China and Vietnam has been complicated, and continues to be complicated. It makes sense to look at it from several different angles:

Historical:
China has occupied Vietnam for more than 1,000 years; the Chinese name for Vietnam was Annam (安南)。At times, the Vietnamese invaded southern China too. In all instances, the Vietnamese overthrew their Chinese rulers and established their independence.

For many practical purposes, there is no significant difference between Chinese and Vietnamese. Ho Chi Minh, the Vietnamese leader was fluent in Mandarin, and taught at the Huangpu Military Academy in the 1920s
 
Najiuliza maswali mengi ni kwa nini serikali imeamua kualika uongozi wa Vietnam iliyo na uhusiano mbaya kabisa na rafiki wetu wa karibu China,,,,,,maswali ni mengi kuliko majibu na imani yetu ni kwamba serikali inajua inachokifanya.
Ha ha nakumbuka tu Viatel
 
Msikilize Mandela hapo...ndio utajua kuwa hakuna wa kutuchagulia marafiki

Safi sana mkuu,nami nilitaka mpe hizo Quotations za Mandela kuwa "the biggest mistake these political analyst makes is to think their enemy is our enemy....."
 
hivi vietnam na taiwan nani ana uhusiano mbaya na china, sababu juzijuzi tumefungua ubalozi taiwan kwa wasio na kumbukumbu passport za zamani kuna nchi tatu ulikuwa huruhusiwi kwenda south korea,taiwan na afrika kusini
 
Hata mtandao na simu za halotel naona ni bora kuliko za china labda hawa watakuwa marafiki wenye utu kidogo
 
Fikir nje ya box bwana ugomvi wao ss unatuhusu nn na sku ikitokea wamepatana ss tutawaambia vietnam tuliwanunia kwa 7bu gan ?
 
Uhusiano wao mbaya sisi hautuhusu, mfano kama unarafiki yako akawa anamchukia mtu x na wewe utamchukia huyu mtu x kisa rafiki yako anamchukia?
 
Najiuliza maswali mengi ni kwa nini serikali imeamua kualika uongozi wa Vietnam iliyo na uhusiano mbaya kabisa na rafiki wetu wa karibu China,,,,,,maswali ni mengi kuliko majibu na imani yetu ni kwamba serikali inajua inachokifanya.
Hawa jamaa America ndio inawagombanisha, wanajitahidi kweli wapigane apate mahali pa kuuzia silaha zake zilizochina
 
Msikilize Mandela hapo...ndio utajua kuwa hakuna wa kutuchagulia marafiki
Jamaa kajibu vizuri sana kwa wakati muafaka.
Nimemuelewa sana mandela

Lakini ni muhimu kuwa makini ili kuwa na urafiki endelevu. Urafiki una tabia ya kuvunjika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…