"Uhasama" wa kibiashara wa Mengi na Manji wachukua sura mpya, wapenzi wa Yanga kususia Magazeti IPP

mengi ameshaingiza pesa........waendelee kununua na kuchoma2
ila ufisadi unaofanywa na manji wa kula dili na akina tanesco na kununua trans4ma nje ya nchi mara5 ya transfoma za hapa nchini lazma usemwe.........yanga si timu ya serikali?????????naona watu kutumiwa hapa
huwez kuvitenga ccm na yanga impact yake ni upigaji,.zile transfoma
 
Kweli njaa mbaya.Nimemsikiza mwenyekiti wa wazee wa klabu ya yanga mzee Akilimali akihojiwa na Maulidi Kitenge muda mfupi uliopita kwenye sports hq ya e-fm radio kuhusu maandamano wanayotaraji kuyafanya kwenda ipp media.Hakika akili ni mali,mzee kakazana kujibu utumbo tu.Kaulizwa kuandikwa kwa Manji kuhusu coco beach kunaingiliana vipi na yanga?anajibu Yusuf Manji ni mwenyekiti yanga.Sasa hilo si suala binafsi la Manji?kajibu kwa nini wanamfuatafuata na kumwandika mwenyekiti wa yanga Yusuf Manji.Aaaaaargh . . .hadi kichefuchefu.
 
usishangae mkuu,.nyerere alitoa kipaumbele chake ni ujinga na umasikini
hakukosea
 
K
Kumbe kisa ni kuandikwa kwa Manji kuhusiana na ufukwe wa koko beach
 
Hii timu ndio inaua soka la Tanzania ikishikiana na tff.Mwisho wao ni kwa waarabu.Fitna,ulozi na kujipendekeza.Badala ya kujali maslah mapana ya nchi.Wao wanajali timu.Hatuwezi kwenda kwenye nchi ya viwanda kama akili ni hizi.
 
Tanzania sasa hivi imesheheni tamthilia nyingi sana za kila aina. Hao watu 10 ndio wanaitwa wapenzi na mashabiki wa Yanga FC???!!! Mbona ni kikundi kidogo kidogo cha watu wachache sana. Kwanini nisiamini kuwa ni hao ni watu wenye maslahi na uwepo wa Manji pale Jangwani???!!!
 
Bongo ukiona mtu anahangaikia kitu usijidanganye anaipenda Tanzania kwa ujumla ila ana maslahi yake binafsi na hicho ahangaikiacho. Hao wanaochoma magazeti ya IPP sio kwa maslahi ya Yanga FC bali kwa maslahi yao binafsi.
 
Manji hajatekeleza ahadi zake. Hii ni uthibitisho tosha kuwa yuko kimaslahi binafsi na sio kwa maslahi ya Yanga FC kwa ujumla kama Football Club.
 
Tumekua tukiamini ukitaka kujenga umoja kwenye taifa lolote ni kwa michezo. Lkn je, kuna namna yoyote mtu anaweza kuitenganisha Yanga FC na CCM???
 
Kichefuchefu haswaaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…