Uhalisia wa Dakika za Nyongeza Tanzania

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nimekua nikifuatilia sana hizi zinazoitwa dakika za nyongeza

  • sioni uhalisia wake maana mpira unakufa muda mwingi sana lkn dk zinakua chache
  • natambua [rerogative ya refarii kwa sasa lkn sidha i kama wana uhakika
  • sidhani kama kuna saa muafaka ya kuzihesabu
  • ...................................................
 
Dakika za nyongeza ni ulaya hapa bongo zinaitwa dakika za mwamuzi. hivyo anaweza kuongeza vyovyote atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…