Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,162
- 1,633
Habari za muda huu.
Watumishi walioajiriwa 2009 wamesahaulika katika taratibu za upandishwaji vyeo.Hebu angalia mfululizo huu wa upandaji katika vyeo kwa kada ya ualimu.
Mtumishi kaajiriwa 2009.Mara ya kwanza anapanda daraja 2013.Mara ya pili anapanda daraja 2019 imepita miaka 6.Mara ya tatu anapanda daraja mwaka 2023.
Je,ukiangalia kuanzia mwaka 2016 mpaka 2019 hakupunjwa daraja? Je, mtumishi huyu anastahili kuseleleka(kupandishwa daraja alilopunjwa kati ya 2013-2019) au laa?
Mwenye kujua mambo haya adadavue hapa kwa faida ya waathirika wa jambo hili.Kuna mwalimu kazimia baada ya kuona wenzie wote wameseleleka yeye wa 2009 intake kuachwa huku akifanana mshahara na waliomkuta kazini.