Hivi mnaamini Dengue kweli ipo jiulize maswali haya...
1. Iliingia 2011 why madhara yaonekane kipindi ambacho kuna wish na ufisadi mbalimbali, na mikutano ya UKAWA
2. Kama kweli ni ugonjwa hatari na hauna dawa hao watu zaidi ya 400 wanaougua kwa nini wamekufa tu 4
3. Kuna taarifa kuna wasanii 2 walipewa mshiko mrefu wajitangaze wanaumwa Dengue ili watu waamini na hata yule doctor aliyekufa mimi ni ndugu yangu wa karibu ugonjwa wake tunaujua cku nyingi
5. Huu ni mradi wa, ndio maana hata mbinu za kujikinga ni very localy eti uvae nguo ndefu, what if uking'atwa usoni au akapenyeza miba kwenye nguo hujaupata tu hapo!